Tuesday, May 7, 2013

SIKU MKUU WA MKOA WA TANGA CHIKU GALAWA ALIPOTEMBELEA OFISI ZA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI NA KUTOA MSAADA YA SARUJI MIFUKO 20Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chiku Galawa akimkabidhi mwenyekiti wa TPC Hashim risiti ya ununuzi wa saruji mifuko 20 aliyoitoa kusaidia klabu hiyo


mkuu wa mkoa wa Tanga

viongozi wa klabu ya waandishi wa habari Tanga, wakimwongoza Mkuu wa Mkoa huo Chiku Gallawa kuingia katika ofisi za klabu hiyo


No comments: