Monday, May 13, 2013

ECOBANK, MAWALLA ADVOCATE NA MARCAS WAFIKISHWA KWA PILATO KWA MADAI KUVUNJA NA KUIBA MABILIONI YA FEDHA DUKANI KWA SHANA BOY

Wakili Albert Msando akifungua mlango wa duka la shayo boy walilolifunga kwa madai ya kudaiwa na ECOBANK baada ya kuamriwa na mahakama kuu kanda ya Dar es salaam kufanya hivyo , katikati mwenye kofia mkurugenzi wa Shana enterprises

Mwandishi Pamella Mollel akipiga picha wakati duka la mfanyabiashara Abdallah Mshana lilipokuwa likifunguliwa na wakili Albert Msando

Mkurugenzi wa shana entreprises Abdallah Mshana aliyevaa kofia akijibu maswali ya waandishi wa habari walipokuwa wakishuhudia kufunguliwa kwa duka lake baada ya kufungwa na kampuni ya udalali ya marcas, mwenye suti nyeusi ni Albert Msando anayeitetea Ecobank ambaye anadaiwa ndie aliyehusika kufunga duka hilo

No comments: