Tuesday, May 7, 2013

TASWIRA BAADA YA TUKIO LA KULIPUKA KWA BOMU KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU JOSEPH OLASITI

Gari lililobeba majeruhi likiwahi hospitali

waumini wakikimbia eneo la tukio, nyuma ni gari iliyobeba majeruhi ikiwawahisha hospitali

watu wakiondoka eneo la tukio, hapa dereva toyo anaonekana akitoa maelekezo kwa mmoja wa waumini waliokuwepo kanisani hapo

taswira katika picha

Gari iliyobeba majeruhi ikiondoka eneo la tukio

Askari wa usalama barabarani na wananchi wakiwa wametaharuki wasiamini kilichotokea,  katikati ni gari lililobeba majeruhi likiondoka eneo la tukio

Gari la wazi lililobeba majeruhi likiwahi hospitali, pembeni ni askari wa usalama barabarani akijaribu kusogeza watu

No comments: