Saturday, April 6, 2013

KATIBU MKUU JUMUIYA AFRIKA MASHARIKI AONGOZA ZOEZI LA KUPANDA MITI KUZUNGUKA OFISI ZA JUMUIYA HIYO LEO

Katibu Mkuu Msaidizi wa EAC akipanda mti

katibu mkuu msaidizi wa EAC Enos Bukuku akipanda mti

Katibu Mkuu msaidizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Enos Bukuku akirudishia udongo ndani ya shimo baada ya kupanda mti

Dkt. Namajeje Wegor akipanda mti

Mmoja wa wakurugenzi ndani ya mahakama ya Afrika Mashariki akinyunyizia maji tayari kwa kupanda mti

Dkt Wegoro Namajeje akimwagilia maji mti aliokwishaupanda

Kiongozi wa mahakama ya Afrika Mashariki akiingiza udongo

Akirudishia udongo kwenye  mti alioupanda
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Richard Sezibera mbele pamoja na viongozi wengine wa juu katika Jumuiya hiyo ikiwemo Enos Bukuku (anayefuatia), wakisubiri kufanya zoezi la kupanda miti kuzunguka ofisi za Jumuiya hiyo

wafanyakazi wakiimba wimbo wa Jumuiya hiyo


wafanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiimba wimbo wa Jumuiya hiyo  wa tatu kutoka kulia ni mmoja wa wakurugenzi katika jumuiya hiyo Dkt.Namajeje Wegoro

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Richard Sezibera akimwagia shimo maji ikiwa ni matayarisho ya kupanda mti

Akichomolewa karatasi ya chini tayari kwa kupanda mti

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Richard Sezibera akipanda mti leo

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Richard Sezibera akipokea mic kutoka kwa MC kwa ajili ya kutoa neno la shukraniNo comments: