Thursday, June 20, 2013

IBADA YA MAZISHI KANISANI, MBOWE AKIHUTUBIA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI

Mwenyekiti wa CHADEMA akitoa salamu za rambirambi kanisani hapoMbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Msigwa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar wakiweka udongo

Viongozi wa CHADEMA wakiwa kwenye majonzi makaburini

Wabunge wa CHADEMA wakiwa wamebeba maiti ya marehemu Judith kutoka kanisani kuelekea makaburini

No comments: