Sunday, June 16, 2013

MKUU WA MKOA WA ARUSHA MAGESA MULONGO ATEMBELEA MAJERUHI WA MLIPUKO WA BOMU, MMOJA WA MAJERUHI ASIMULIA ALIVYOONA ASKARI WAKIRUSHA RISASI

Gari la kubeba wagonjwa la hospitali ya Mountmeru likiwa limepasuliwa vioo na wafuasi wa Chadema baada ya dereva wa gari hilo kugoma kwenda kuchukua majeruhi wa mlipuko

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo akimsikiliza majeruhi wa mlipuko Abdallah Alila akisimulia mkasa wa tukio hilo ambae alidai kuwa askari walirusha risasi hovyo baada ya kutokea mlipuko huo

Mtoto mdogo Fahad Jamal akiwa ICU

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo akizungumza na waandishi wa habari nje ya hospitali ya Seliani

No comments: