Monday, June 17, 2013

MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA MBUNGE NASSARI, MAJERUHI WA MLIPUKO BOMU SOWETO

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akimjulia hali Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari

Mganga mkuu wa hospitali ya ST..Elizabeth Dkt Kwayu akimweleza Dkt Bilal athari aliyopata majeruhi wa bomu

Makamu wa Rais akimfariji majeruhi Sarah John Mrema aliyelazwa katika hospitali ya St.Elizabeth

Dkt Kwayu akimuonyesha Makamu wa Rais majeruhi mwingine wa mlipuko

Madaktari hospitali ya Seliani wakimkagua majeruhi kumuonyesha Makamu wa Rais sehemu aliyoumia majeruhi huyo

Makamu wa Rais akiwa ndani ya hospitali ya Seliani
Makamu wa Rais akimjulia hali Mbunge Nassari

Nassari akiwa kalazwa Seliani

Mkuu wa Mkoa akimjulia hali Mbunge Nassari katika hospitali ya Seliani

Makamu wa Rais akizungumza na mganga wa Hospitali ya Seliani Dkt Paul Kisanga

Daktari wa hospitali ya Seliani Dkt Paul Kisanga akimweleza Makamu wa Rais maendeleo ya majeruhi hospitalini hapo

Dkt Kwayu akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais


Makamu wa Rais akimfariji mmoja wa wahanga wa tukio la bomu

Mmoja wagonjwa Sarah Mrema akimuomba Makamu wa Rais kukanya polisi kutumia silaha kupiga watu

Makamu wa Rais akisaini kitabu cha wageni hospitalini Seliani

Makamu wa Rais akizungumza na wauguzi, wagonjwa na wakazi wa maeneo ya jirani katika hospitali ya St.Elizabeth kuhusu mlipuko wa bomu

Makamu wa Rais akisaini kitabu cha wageni katika hospitali ya St.Elizabeth

No comments: